MAPISHI

rockcakes


 
VIPIMO:

 Unga                                                         4 Vikombe

Sukari                                                       10 Ounce

Siagi                                                         10 Ounce

Kungu manga ya unga                               2 vijiko vya chai


Matunda makavu/njugu (kama lozi,   

Zabibu, maganda ya chungwa,

Cherries na kadhalika                                 4 ounce


Maziwa ya maji                                          4 Vijiko vya supu

 
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA

 1) Chukua siagi na sukari koroga na mixer mpaka iwe kama cream.

 2) Tia vanilla kungu manga, tia yai moja mix tena endelea kuongeza yai lingine mpaka umalize yote, changanya mpaka iwe laini kama sufi (fluffy)
3)  Tia unga na baking powder na dried fruits, changanya na mwiko.
4)  Chota mchanganyiko  na kijiko cha soup weka kwenye treya ya kupikia tandaza na uma ili upate matundu juu ya biskuti.

 5)  Pika (bake) kwenye oven lenye moto wa 375 F. kwa muda wa dakika 15 hivi huku unazitazama tazama.

KIDOKEZO
Unaweza kufanya nusu ya vipimo kwani biskuti zinatokea nyingi. 









MAPISHI :  Je unapenda kupika lakini hujui? kama jibu ndio basi karibu sana katika page hii ya mapishi ambayo utapata machache ambayo yatakusaidia katika masuala mazima kuhusu kupika.

Powered by Pnyxe








Free Web Hosting