About
chat : Asalam alaykum napenda kuwakaribisha
ndugu zangu waislamu kwenye hii chatroom ili tuweze kubadilishana
mawazo na kuongelea mambo kuhusu dini na maendeleo ya jamiii yetu ya
kiislamu.
Mambo haya ni marufuku :
Ninapenda kuwakumbusha ndugu zangu hii si sehemu ya kutukanana wala
kusengenya au kuongelea mambo yasiyofaa katika jamii.
.